Genesis 3:16

16 aKwa mwanamke akasema, “Nitakuzidishia sana utungu wakati wa kuzaa kwako;
kwa utungu utazaa watoto.
Tamaa yako itakuwa kwa mumeo
naye atakutawala.”

Copyright information for SwhKC